Sasa hapa umeandika nini? Kukaa kimya nalo ni jibu aisee!
lazima we mchaga tena mrombo au mmaranguNilisikitika kweli..,my dad anapenda nyimbo zake,tulivokuwa wadogo tumesikilizishwa hzo hadi tulizicrame
hahahha,why mkuu?..sijui kwanin most pipo mistake me for a chagga,wkt me sio kabisalazima we mchaga tena mrombo au mmarangu
hahaaaaa pole.......kwa yaliyokusibu
halafu kuna ile sehem anasema
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another mans play thing
Ohh Lord am hurting now..........
wachagga na luck dube....yethu ruaa.hahahha,why mkuu?..sijui kwanin most pipo mistake me for a chagga,wkt me sio kabisa
watu mupo dipu
Its not Easy........naupenda huu wimbo
Sijawahi kujua kisa chaa Kifo chake ila nimejaribu kufatilia
naona waliosema haikuwa reason ya ukweli
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo cha kifo cha Senzo.
Je, ni kweli? Yawezekana ilikuwa ni kulipiza kisasi? Kuna wimbo wa Crime and corruption ukiusikiliza maudhui yake ndicho kilichomtokea yeye. Nani walihusika kumuua?
Mbona una mix.......hao ni UB arobaini bana......
No matter how many his wrongs are, but people loved him most.
Nyalotsi..ishu ya kufa kwa lucky dube ipo hivi..kipindi senzo anajitenga na lucky dube,lucky dube kama yeye hakuwa tayari kumuacha senzo aondoke ktk kundi lake ilimuumiza sana kichwa lucky dube kuondoka kwa senzo aliondoka na mashabiki wengi sana wa lucky dube pia ukumbuke nyimbo nyingi za lucky dube mtunzi alikuwa senzo na lucky dube aliiamini kuondoka kwa senzo ktk kundi lake ndio mwanzo wa yeye kutetereka kimuziki,Senzo alijitoa kwa lucky Dube pasipo na maelewano mazuri album ya kwanza ya senzo baadaya kujitoa kwa luckydube ili hit sana na aliuza nakala nyingi ugomvi wa senzo na luckydube ulifahamika hadi kwa mashabiki wao,ikikumbukwe kuwa kifo cha Senzo kilikuwa cha utata km kilivyo kifo cha luckydube,baada ya kutokea kifo cha Senzo mashabiki walimnyoshea kidole luckyDube ndio aliyemuua Senzo,luckydube alijitetea sana juu ya kifo cha Senzo mashabiki wa Senzo walisema nao watalipiza kisasi,baada ya kauli hizo kutolewa na mashabiki wa senzo Luckydube akakimbia South na kwenda kuishi London huku akiendelea na kaz zake za kimuziki aliishi London zaidi ya miaka kumi ndipo alipoamua kurudi south bila shaka ukumbuke kisasi hakisahauliki ila yeye alidhania wameshasahau yaliyopita
Poa ngoja niucheki sasa hivi.DZUDZUKU....tafuta nyimbo ya lucky dube inayoitwa OTHER SIDE alafu uisikilize ujumbe uliopo ktk huo wimbo..
DZUDZUKU....tafuta nyimbo ya lucky dube inayoitwa OTHER SIDE alafu uisikilize ujumbe uliopo ktk huo wimbo..
Nimeipata aisee ni hatari..........ujue ndio yaliyopo siku hizi, si unajua wengi sana wanakamatwa wakitaka kuzamia ulaya kwa kupitia Italy?
Is this the way you wanted it to be, this is the way its gonna be X2
Ooo my God, oo my God what we gonna do, in this world, in this world we live inx2
iI see these men everyday, at the corner of queens and commisioner,
beging for a dollar everyday
beging for a dime everyday,
trying to make a living out ther, but its so hard X2
Chorus.
Beging for a dollar, beging for a dime.x2
One of them, sold his pride,
his brocken pride and came to me and he said. "what did i do to deserve this, life is a game, what are the rules?"...............
Kungine sikiliza mwenyewe.
Hapo kwenye blue ndio pananipa huzuni kila nisikilizapo.
R. I. P. Lucky Dube.