Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Sidhani kama kuna mahusiano yoyote kati ya kutokuolewa na ubabe! Tabia ya ubabe ni tabia ya mtu bila kujali kama kaolewa ama hajaolewa. Nimeona pia wanawake wengi tu wameolewa lakini ni wababe mno mpaka wanafikia mpaka hatua ya kuwapiga waume zao au kuwafungia nje ....:nerd: