Ni kwa nini wasiotaka kuchanjwa Tanzania wanaonekana viumbe wa ajabu, wakati ulaya na marekani wameigomea wengi tu!

Ni kwa nini wasiotaka kuchanjwa Tanzania wanaonekana viumbe wa ajabu, wakati ulaya na marekani wameigomea wengi tu!

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Leo Covid Imemng'oa Collin Paul Mweusi wa Kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi na baadae Waziri wa Ulinzi wa Maeekani japo alishagonga chanjo inayosifiwa bora zaidi ya Pfizer kwa awamu zote mbili
 
Back
Top Bottom