Ni kwa waliowahi kujamba hadharani tu

Ni kwa waliowahi kujamba hadharani tu

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Nakumbuka ilikuwa ni sikukuu ya jumatano ya majivu tukiwa kanisani. Sisi wanafunzi tulikuwa tumekaa sehemu yetu sasa wakati tukiwa tumekaa pale kitu kikaja ghafla sana. Nkajitahidi kujibana lakini nkawa nishachelewa. Watu wakabaki wanacheka tu huku Mimi nikijifanya nipo bize kusikiliza mahuburi.

Kuanza siku hiyo huwa Niko makini sana kwenye hiyo sekta kuhakikisha hii aibu hainipati tena.
 
Mimi siwezagi kabisa kutoa mbele za watu
 
Mzee ulipumua? Dah aisee mi hata nikiwa pekeyangu huwa najistukia
 
Duh me cwez kabisa hata kam niko peke yangu labda chooni lkn hv kawaida huwa nashindwa jamani najikuta niko makini sana istoke mpk nifike chooni
 
Back
Top Bottom