Nakumbuka ilikuwa ni sikukuu ya jumatano ya majivu tukiwa kanisani. Sisi wanafunzi tulikuwa tumekaa sehemu yetu sasa wakati tukiwa tumekaa pale kitu kikaja ghafla sana. Nkajitahidi kujibana lakini nkawa nishachelewa. Watu wakabaki wanacheka tu huku Mimi nikijifanya nipo bize kusikiliza mahuburi.
Kuanza siku hiyo huwa Niko makini sana kwenye hiyo sekta kuhakikisha hii aibu hainipati tena.