Ni Kwangu Tuu...ama nanyi yanawapata

leo siku mbaya sana nitajibu wakati mwingine nina hasira haswa
 

Nahisi anayezungumziwa ni Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Yaani mna nyonyana nyeti alafu hamjawai ku duuuu. Dah we unamoyo sana. Ningekuwa mimi ningekuwa nimesha mlowanisha long t.
 

Aisee mi wa kwangu ndo yupo ivo kwenye red exactly 100%
 
hiyo thread mm hainihusu kaka lakin nimependa tu kuchangia broo! khee kumbe huwa mnapenda eee kuambiwa hayo majambozi sikujua, sisi wanawake ni watu wa aibu sana broo, usikate tamaa nenda nae pole pole yawezekana bado hajakuzoea, bt kwangu mm huwa sivungi kwa bf wangu, nikijisikia tu namwambia na huwa anafurahi sana nikimwelezea feeling zangu kwake.
 

mpaka mnanyonyana nyeti bdo umeshndwa kumgonga?kweli we sio mzima,na ndio maana hakupi marespect,some times jiongeze bwana.
 

nimekusoma mkuu...i will!
 

Kazi Kweli kweli..!
 
Last edited by a moderator:
Na baadhi ya wanawake wana aibu sana ukitaka kujua anataka utaona tu mara akuwekee mguu juu,Mara ukitaka kupata usingizi akuamshe,Mara aanze cheza na ndevu,Mara .....yaani full vitendo no talks.

NO TALKS!!? Hahahahahahah..
 
Inawezekana ndo alivyo but kitu ambacho sijaelewa ni kwa nini ukimpa zawadi tu ndo anakuita sweet names??wanawake hua ni wepesi sana kuexpress hisia zao ukiona mtu anaficha ujue kuna somewhere yuko open..

Mh! Mara nyng Huwa Nachunguza Cm Yake
Huwa Ckutan Na Maujinga Zaid Sms Zangu Za Miez Iliyopta Na Mpya!
 
sipendi kuitwa baby,sweet,wengi wanaita kiutapelli zaidi adi umpe zawadi ndio utasikia asante baby,usipotoa zawad unaitwa jina lako,haya majina siyapend kweli kutokana na sababu zangu binafsi na matukio
 

Ngoja 2wait 2cheki
Nami silegezi Ntashow Love Hvyohvyo!
 
Last edited by a moderator:
sipendi kuitwa baby,sweet,wengi wanaita kiutapelli zaidi adi umpe zawadi ndio utasikia asante baby,usipotoa zawad unaitwa jina lako,haya majina siyapend kweli kutokana na sababu zangu binafsi na matukio
 
Yaani mna nyonyana nyeti alafu hamjawai ku duuuu. Dah we unamoyo sana. Ningekuwa mimi ningekuwa nimesha mlowanisha long t.

Ndio 2natomasana Na Kunyonyana Tena Yeye Anafurah Kishenzi
HA2JAPANGA KUFANYA NGONO KWA SASA!
 

Nazan Tabia Ya My X imechangia kuniathr
Yeye Hata Nikimuudh Hakuchoka Kuniita HONEY
Na Alikuwa Mwepes Wa Kuomba Radhi ila Huyu Mpaka Nimkumbushe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…