100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kashindane na watoto wa English Medium Schools mkuuWakihitajika 'Wordsmiths' wa Kiingereza Pumbavu kama Wewe unaweza Kujitokeza na hata Kushindana nami?
Nikiwa nawaita Wapumbavu 24/7 hapa JamiiForums msiwe mnachukia. Sasa kama Leo hii pamoja na Kujiita Great Thinker lakini hujajua tu kuwa Historically Makabila ya Zanaki ( Mara ), Nyambo ( Kagera ), Hima ( Uganda ), Kalenjin ( Kenya ) na Nyamulenge ( Congo DR ) wote hawa ni Watutsi kutokea nchini Rwanda?Tangu lin Watusi wakatokea MUSOMA?
Kiingereza chako cha Varsity ndiyo hiki unachokiandika ( kwa Kunijibu hapa ) kwa Kiswahili au?Kashindane na watoto wa English Medium Schools mkuu
Nilidhani hata haya Maelezo yako yote kwa Kujitapa ( Kujimwambafai ) Kwako kote huku ungeyaandika ili Mimi kama 'Wordsmith' niweze Kukipima matokeo yake naona unajibizana nami kwa Kiswahili tu.Kiingereza kwangu ni lugha ya mawasiliano kama ilivyo kiswahili, kushindana ni kama unajifunza au unatafuta namna ya kuboresha kiingereza chako kitu ambacho sipo kwenye hizo level za kushindana kuongea kiingereza, pambana na hali yako..
Wanaokukaza wanakufahamu kwa Kiwango gani?Unaifahamu kwa kiwango gani Rwanda na Burundi??.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kiingereza chako ndicho ulichotumia kuandikia huu uzi?Kiingereza chako cha Varsity ndiyo hiki unachokiandika ( kwa Kunijibu hapa ) kwa Kiswahili au?
Mkuu usihangaike nae huyo Uncircumcised Baboon and 100 others niachie Mimi kwani amenitafuta na sasa amenipata na nataka nimnyooshe kwani hakuna Vita ninayoiweza, mahiri nayo na naimudu vyema kama ya Majibizano.Ktk mijadala ya akili kama hii matusi ya Nini
Kiingereza chako unajichojitapa nacho ndiyo hiki Kiswahili unachonijibu hapa au?Kiingereza chako ndicho ulichotumia kuandikia huu uzi?
We una uzi hata mmoja umeandika kwa kiingereza mwanzo mwisho we shenziKiingereza chako unajichojitapa nacho ndiyo hiki Kiswahili unachonijibu hapa au?
Kama ni hivyo basi Burundi ingekuwa na maendeleo mkabwa cause kwa Takwimu rasmi Burundi ina Tutsi wengi kuliko Rwanda.tukisema pua ndefu tunamaanisha Tutsi..... hizo ni code za mtaani
Bahati nzuri Baba yangu Mzazi ambaye ni Former Respected Senior Diplomat wa Taifa hili la Tanzania na Mtu aliyeshika Nyadhifa Kubwa Idara MUHIMU na kuwa Msaidizi wa karibu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mshauri Mkuu wa Masuala ya Kidiplomasia ( Nje ) na Usalama wa Hayati Rais Mkapa na Mjumbe Maalum wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Marais Hayati Nelson Mandela ( South Africa ), Robert Mugabe ( Zimbabwe ), Yoweri Museveni ( Uganda ), Paul Kagame ( Rwanda ), Pierre Buyoya ( Burundi ) na Joseph Desire Kabila ( Congo DR ) hakuwa ( siyo ) Mwendawazimu ( Chizi ) na Mpumbavu ( Juha ) kama Wewe.Mimi ni mwehu ila ndiyo baba yako mkuu.
Ila Wewe hizi posts zako hapa unanijibu kwa Kiingereza? Nionyeshe huo Uzi wako hata Mmoja tu uliouandika kwa Kiingereza hapa JamiiForums tafadhali. Zuzu ( Juha ) mkubwa Wewe.We una uzi hata mmoja umeandika kwa kiingereza mwanzo mwisho we shenzi
Nenda ka search kwa muda wako Dont be a nice one ... you will loose...Ila Wewe hizi posts zako hapa unanijibu kwa Kiingereza? Nionyeshe huo Uzi wako hata Mmoja tu uliouandika kwa Kiingereza hapa JamiiForums tafadhali. Zuzu ( Juha ) mkubwa Wewe.
Nionyeshe hata thread yako 1 umeandika kiingereza hakuna Swahili.. yaani wewe ndio wa kunipangia mimi kuongea kiingereza au ni reply kwa kiingereza ndipo ujue nakifahamu? We mshamba sana, kiingereza sio elimu we mwanamke.. kiingereza naongea kama kiswahili tu we mshamba..Ila Wewe hizi posts zako hapa unanijibu kwa Kiingereza? Nionyeshe huo Uzi wako hata Mmoja tu uliouandika kwa Kiingereza hapa JamiiForums tafadhali. Zuzu ( Juha ) mkubwa Wewe.
Una dalili zote za Mwanaume Shoga ( Mwendo ) tafadhali tuwekee Mawasiliano ili 'Wafumuaji' wa 'Mitaro' tukuchangamkie.Nenda ka search kwa muda wako Dont be a nice one ... you will loose...
Shenzi wewe.. wewe hata nikichat kwa kiingereza na wewe huwezi kunielewa..
Hizi kauli akitoa Mwanaume inasikitisha sana kwa kweli..Unamuita kagame ndio mwanaume pekee afrika?
nenda akuoe sasa umzalie mtoto mwenye akili kama yeye.
Wanaume wakitakiwa Kujitokeza nawe utathubutu hata tu Kujitokeza?Hizi kauli akitoa Mwanaume inasikitisha sana kwa kweli..
Sijaja na ishu ya wewe kukaa kwa nyerere ikulu na Uganda kwakuwa mimi sina ulimbukeni kama wewe unataka tuanze kubishana tena wakubwa wazima eti nilikaa!!!,sikukaaa!!!,nilikaa!!!!!,hayo mambo nakumbukua tulikuwa tunabishana huko utotoni nakumbuka kuna siku tupo wadogo kabisa tukiwa Mitaa ya Magomeni ukapita msafara wa raisi enzi hizo Ali Hassan Mwinyi tukaanza kubishana gari hasa alilokuwemo raisi ni lipi nakumbuka tulibishana tukitembea kwa mguu mpaka Tandale kwahiyo sitaki tena nirudie tena event hiyo maana kubishana na wewe kwa mtu mwenye mambk mengi ya kufanya hapa mjini ni kupoteza muda tafuta majobless wenzio ndio muanze arguments za kishamba maana hata nikikwambia uthibitishe kweli kama uliishi kwenye hizo ikulu(japokuwa haitonsaidia kitu)huwezi kunithibitishia hata mimi leo humu JF ningeamua kusema nimeishi Ikulu zote za Africa Mashariki na nina asili ya Botswana ningeweza ila mimi sio mshamba kama wewe nina exposure ya kutosha na sijatoka bush(mbwinde) kama wewe huwa tunakuona kashamba fulani hivi kanachojaribu kujitutumuaUlisema kuwa sijakaa Ikulu ya Nakasero Uganda nikakujibu na mpaka niliokaa nao na kukuonyesha sijakaa tu ya Uganda bali nimekaa pia nikiwa Mdogo hata ya Dar es Salaam na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mbona hujaja tena la lingine? Pumbavu, Mswahili na Mshamba mkubwa Wewe.
Huyo jamaa mshamba hadi leo akiwa Tandika anaulizia magari ya kariakoo yako wapi!!!..Anachofanya humu ni kujitutumua kuonyesha na yeye born town matawi kumbe tunaojua saikolojia tumeshagundua kwamba hayupo sawa mentally!!!!.. LIKUD huwa anasema anahisi wenzie wanamgonga(wanamnyata)Usinipotezee muda..
We bado mchache sana kwa kila kitu..
Afya ya akili haipo vyema, ni jamaa mmoja mshamba tu asiye mbele wala nyuma, kuishi ikulu ukute mama yake alikuwa anafanya usafi wa vyoo hapo ikulu, tena vyoo vya walinzi, sasa akawa anakwenda nae utotoni ..Huyo jamaa mshamba hadi leo akiwa Tandika anaulizia magari ya kariakoo yako wapi!!!..Anachofanya humu ni kujitutumua kuonyesha na yeye born town matawi kumbe tunaojua saikolojia tumeshagundua kwamba hayupo sawa mentally!!!!.. LIKUD huwa anasema anahisi wenzie wanamgonga(wanamnyata)