Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Nimeleta uzi huu kuhusisha pande zote mbili za me&ke katika kila pande ichangie uzi huu ni kwanini dada zetu.Ni wachache utawaskia wakidai kinga pindi wanapokutana na wapenzi zao.Nimeliona hili hata katika kila mahusiano mapya ninayo yaanza nikajiuliza wenda mimi ndo najali sana afya yangu ama?.Lakini leo nimekuja niskie kwenu dada zangu kwanini inakua hivi au na nyie mna kale katabia Kakumpima mtu kwa macho mkishapenda sana? Me wenzangu ningeomba mchangie je kama na nyinyi mmekutana na hili jambo.