chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa.
Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa.
Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali.
Hivi sasa kuna baadhi ya viongozi wa CCM kwenye vitongoji hawajui kusoma wala kuandika.
Je, ni kweli tunasonga mbele au ni bora liende kwenye demokrasia na maendeleo?