chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Mtaalam unashirikiana na nyoka kumuua binadamu mwezio mkimaliza hiyo kazi unalo.Tulia wewe, sisi ndio wataalam!
Mbeleko ya bibi.Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa...
Poa ila mimi nisiyo na taaluma kama yako wanichanganya.Tulia wewe, sisi ndio wataalam!
Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa....
Wacheni Kulia lia mitandaoni kapigeni kampeni wakuu ndio imeshatokea jamaa wameshika Dola mnategemea tofauti na hiloPoa ila mimi nisiyo na taaluma kama yako wanichanganya
Punguza hasira Mkuu twende mdogo mdogo tutaelewana tuChama Cha Majambazi - CCM kimekuwa sasa hatari kwa mustakabali wa Taifa hili. Huko tuendako ni Giza totoro kidemokrasia, uhusiano wa kitaifa na kimataifa, kimaadili, nk. Kwa kifupi taswira ya Libya imeshajengwa nchini chini ya chama hiki dhalimu. Nchi imekalia bomu ambalo wakati wowote litalipuka. CCM inajifanya ina hati miliki ya nchi.
Poa ila mimi nisiyo na taaluma kama yako wanichanganyaTulia wewe, sisi ndio wataalam!
Mdogo mdogo kivipi? Sehemu sensitive kama Zanzibar unaengua wagombea, unategemea nini?Punguza hasira Mkuu twende mdogo mdogo tutaelewana tu
Hayo ndio maajabu na ushamba wa NEC na CCM.Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa.
Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa..
Kwanini zito kabwe alifukuzwa chadema?kama jibu unalo basi elewa kuwa ndiyo hali halisi .Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa.
Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa.
Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali.
Hivi sasa kuna baadhi ya viongozi wa CCM kwenye vitongoji hawajui kusoma wala kuandika.
Je, ni kweli tunasonga mbele au ni bora liende kwenye demokrasia na maendeleo?