Ni kwanini hatupendi kuchukulia vitu serious??

Ni kwanini hatupendi kuchukulia vitu serious??

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Habari za mida hii wapedwaa!???
Leo na swali na ningependa mnijbu km swali linavyouliza
>>Ni kwanini asilimia kubwa ya wachangiaji wa majukwaa ya chit chat & MMU hawako serious sana kwenye kuchangia mada, mfano mtu kaomba msaada/ushauri

Mfano:>> Nikiwa faragha na mpenzi wangu na wahi kufika kileleni wakati mwingine na shidwa hata kurudia tendo je tatizo ni nini!??? [/=]
Badala tumshauri km tunauelewa tunaanza kuingiza utani mwingi, kutag anaa salamu humo humo, tunasahau mada tunaanza vibunge vya kahawa, ni kwanini tusiwe serious tuchangie mada baada ya hapo tuanze hadithi, salamu , n.k!????

Mimi pia natabia hiyo sikatai lakini lengo la huu uzi, siyo vijembe bali nikurekebishana tuuu

NB: KAMA KUNANILIE MKWAZA ANIFATE PM, MSISAHAU kuna banned!!!![emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Labda ni aina ya hoja zinazopelekwa huko pia,sasa kwa mfano ungempa ushauri gani makini huyo?
 
Nauzi kama haupo serious wachangiaji watazingua tu maana hakuna namna.
 
Lazima wangemchezea coz hiyo ishu wengi huwa wanaichukulia poa!
Ila tatizo ni kubwa kuliko tunavyochukilia! Sema kuzungumza huwa kama udhaifu Fulani hivi...... Kama enzi hizo mtu kutangaza ana HIV
 
Labda ni kwa sababu na wewe una hiyo tabia...
 
Kweli lakini wanatakiwa waampe maaujuzi kijana ili afikie malengo maana hofu ishaanza mwingia asije chapiwa bure na wakina sie
 
...

NB: KAMA KUNANILIE MKWAZA ANIFATE PM, MSISAHAU kuna banned!!!![emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Kua serious ni kazi ngumu mfano wewe mleta uzi umesema "Kuna banned"

Hilo neno linaua userious wa mada yako.
 
Kua serious ni kazi ngumu mfano wewe mleta uzi umesema "Kuna banned"

Hilo neno linaua userious wa mada yako.
Siyo sipo serious watu mnaweza mkaanza kutoa mapovu humu ukasahau km kuna ban
 
Zaman ulikua ukileta mada
Kama hyo yan inachangiwa
Na kushauriwa tena kwa


Ufasaha. Mkubwa sana
Ilikua ukileta mada yyt jf
Yan unapatiwa ushaur wa


Maana mpaka unaona hapa
Yenywe mungu kanijalia
Nmesaidika,,jamaa walikua
Wanatoa ushaur mzur sana

Bujibuji,inz,root,watu8
Mss chaga,cute b,madam b,
Mzizi mkavu,arushaone,
Tezad na,wengbine wengi

Hawa wdau walikua watoa mawazo ya maana co mchezo

Ila kwa sasa woi jukwaa
La maana n jukwa la
Biashara,uchumi,ujasriamali

Hlo ndo jukwaa liko serious
Kwa sasa
 
Tunaenda na beat!
Ukh.zingua tunakuzingua
 
Kila mtu anachukilia jambo kwa uzito wake hii ndo inaleta watu kuja na majibu tofauti ...wakati mwingine watu wanapost vitu vya kutunga kabisa hapo ni lazima utani uwepo
 
Back
Top Bottom