Ni kwanini huyo msanii wa B-hits aitwaye Deddy hatoki?

Ni kwanini huyo msanii wa B-hits aitwaye Deddy hatoki?

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Kuna jamaa wa B-hits anitwa Deddy, mimi nikimsikiliza naona anajua sana, hata ukisikiliza nyimbo alizoshirikishwa ana style yake flani ya tofauti. Amesikika kwenye ngoma ya Mabeste ya Ndole, kapiga chorus na verse ya mwisho kwenye ngoma ya ya M rap ya Desiny.

Jamaa yuko sawa, ila ni muda sijawahi hata siki track yake yeye kama yeye.
 
sasa atatokaje kama hatoi ngoma zake? mi mwenyewe nimemjua kupitia collabo na mabeste 'dole', but sijawahi sikia nyimbo yake
 
Sidhani kama bado bhits alishasepaga kipindi flabi na akina vanessa mdee .ila yuko vizuri
 
Namjua huyu jamaa kwao wanamziki hata baba'ke alikuwa mwanamuziki mzuri..kwa chorus na dancehalls deddy ananyoosha mbaya ila nadhani kakosa ubunifu na menejimenti nayo inachangia..gemu gumu wanaoimba staili kama yke wako wengii.
 
Hatoki Kimuziki kwasababu hata wewe hurequest wala kusikiliza ngoma zake coz jamaa katoa ngoma kibao,sema wakumfanya asitoke in ss watz ukiwepo na wewe uliepost Hii thread
 
Wakati wewe unauliza kuhusu huyo, mimi nauliza kwanini Samir hatoki? Jamaa mkali sana.
 
Back
Top Bottom