sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
vp wenye watoto wanaolea wenyeweWanawake kiasili wapo detail oriented na multitasked kwa hiyo kwenye ishu za kusimamia kitu kilichopo kwenye mifumo clear, wapo vizuri sana
Kingine wao kwenye ngazi za kijamii, hawana majukumu mazito ya kuwa providers na wala hawawekewi matarajio makubwa na watu kwenye kufanikiwa kimaisha. Hii tu inasababisha wao kutokuwa na tamaa za kuangukia upigaji au kuacha kazi.
Kwa hiyo wanawake ni safe route kiasi kwa waajiri
Hiyo harufu ya k ni kali sana aisewComments namba 2 & 4 ndio nilichotaka kusema..
Nilishaingia Duka la nguo Mshakaji(muuzaji) alikua anamchezea demu K, yaani ananishushia nguo kunipa mkononi ni harufu ya K tuu, Yule Dada alijua nimejua, alitoka kwa aibu kainama..,
Nipo nje duka jingine namuona ananawa mikono.
Sikuchukua ile nguo na sijawahirudi.
Wengine wanawekwa kama mapambo ya kuvutia wateja
Kumbe ni wewe Yule boya wa dukanComments namba 2 & 4 ndio nilichotaka kusema..
Nilishaingia Duka la nguo Mshakaji(muuzaji) alikua anamchezea demu K, yaani ananishushia nguo kunipa mkononi ni harufu ya K tuu, Yule Dada alijua nimejua, alitoka kwa aibu kainama..,
Nipo nje duka jingine namuona ananawa mikono.
Sikuchukua ile nguo na sijawahirudi.
Wateja 😊
Chakula cha mabosi mkuu, ulikuwa hujuwi?Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.
Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.
Kwanini
Hiyo ni exception mkuu ila kwa kawaida wanaume ndio bread winners ndio maana hata kama mwanamke ana kipato zaidi ya mume lakini pesa ya mwanaume ndio inahesabika kama kipato cha familiavp wenye watoto wanaolea wenyewe