Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni wote hapa Northern Malawi.
 
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni hapa Northern Malawi.

Kama thread ilivyokaa kimafumbo mafumbo kwanini!
 
Acha uoga bwana mdogo, unatumia fake ID halafu unaandika kimafumbo?
 
Kwasababu za kiusalama.
 
monduli,mbweni,dodoma,unguja na tz
 
Acha uoga bwana mdogo, unatumia fake ID halafu unaandika kimafumbo?
Nimefumba wapi? Wewe si uko huko Kwenu Tanzania? Mimi hapa naizungumzia nchi yangu hii ya Northern Malawi sawa? Acha Kiherehere ( Waganda ) wanasema Lugezigezi.
 
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Unajiitaga una akil unashindwa ng'amua jambo dogo kama hilo?.. ushaskia wanaitwa secret service sasa unataka mahafali yawe wazi waonekane wajulikane.. bro vip . Mbona unatuangusha.. tutakuita popoma sasa hvi
 
Genta a.k.a JASUSI MKUU a.k.a CHIEF SPY a.k.a DGTISS mtarajiwa
 
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Shindwa kwa Jina la Yesu

Shandalamababalai
 
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Kumhofia Noth western slim
 
Kama thread ilivyokaa kimafumbo mafumbo kwanini!
watanzania uelewa wenu wengi upo chini. hii thread unasema ina mafumbo? yapi hayo?ya kugeuza majina kuandika kuanzia mwisho kuja mwanzo Monduli,Dodoma,Mbweni n.k hayo unaona ni mafumbo?😳
😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Nimefumba wapi? Wewe si uko huko Kwenu Tanzania? Mimi hapa naizungumzia nchi yangu hii ya Northern Malawi sawa? Acha Kiherehere ( Waganda ) wanasema Lugezigezi.
Kano kantu Kaino olugezigezi olwamanyi[emoji1]
 
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?

Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Hiyo Northern Malawi imetekwa na Tanzania?
 
mwanzo mgumu siku moja wataenda hewani na tutawapokea.

tatizo hawana identity kwamba wamehitimu kwenda kufanya kazi ipi??wataionyeshaje kwenye maonyesho!!!itafananiaje kama ya jeshi ama utawa wa kanisa???
 
Back
Top Bottom