GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni hapa Northern Malawi.
Kwasababu za kiusalama.Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni hapa Northern Malawi.
Nimefumba wapi? Wewe si uko huko Kwenu Tanzania? Mimi hapa naizungumzia nchi yangu hii ya Northern Malawi sawa? Acha Kiherehere ( Waganda ) wanasema Lugezigezi.Acha uoga bwana mdogo, unatumia fake ID halafu unaandika kimafumbo?
Una uhakika?monduli,mbweni,dodoma,unguja na tz
Unajiitaga una akil unashindwa ng'amua jambo dogo kama hilo?.. ushaskia wanaitwa secret service sasa unataka mahafali yawe wazi waonekane wajulikane.. bro vip . Mbona unatuangusha.. tutakuita popoma sasa hviNijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Shindwa kwa Jina la YesuNijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni wote hapa Northern Malawi.
Kumhofia Noth western slimNijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni wote hapa Northern Malawi.
watanzania uelewa wenu wengi upo chini. hii thread unasema ina mafumbo? yapi hayo?ya kugeuza majina kuandika kuanzia mwisho kuja mwanzo Monduli,Dodoma,Mbweni n.k hayo unaona ni mafumbo?π³Kama thread ilivyokaa kimafumbo mafumbo kwanini!
Kano kantu Kaino olugezigezi olwamanyi[emoji1]Nimefumba wapi? Wewe si uko huko Kwenu Tanzania? Mimi hapa naizungumzia nchi yangu hii ya Northern Malawi sawa? Acha Kiherehere ( Waganda ) wanasema Lugezigezi.
Hiyo Northern Malawi imetekwa na Tanzania?Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala hatuonyeshwi Mahafali yao?
Karibuni wote hapa Northern Malawi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama thread ilivyokaa kimafumbo mafumbo kwanini!