The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Inaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa.
Tumekuwa na mashindano mengi hapa juzi kati lakini kama nchi hatujapeleka refa hata mmoja kulikuwa na chan, watoto wa kike kule India fainali za klabu bingwa afrika confederation. Cup na mengine mengi sababu ni nini?