The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
bado sanaInaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa.
Tumekuwa na mashindano mengi hapa juzi kati lakini kama nchi hatujapeleka refa hata mmoja kulikuwa na chan, watoto wa kike kule India fainali za klabu bingwa afrika confederation. Cup na mengine mengi sababu ni nini?
Tatizo kubwa la taifa letu ni lugha iwe kwenye sanaa au kwenye mpira na maeneo mengine lugha ni tatizo kubwa sana linalorudisha nyuma maendeleo yetu katika sekta mbali mbali na bahasha pia.
Wanaongea lugha gani.Mbona waburundi na warwanda marefa wao wanatumika sana kwenye mechi za caf
Wanaongea lugha gani.