Ni kwanini mashabiki wa LaLiga wapo kimya kuhusu Super League?

Ni kwanini mashabiki wa LaLiga wapo kimya kuhusu Super League?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Huu mpango umekuwa na muitikio hasi sana kutoka kwa mashabiki wa soka nchini Uingereza. Ni kwa nini hatujasikia vurugu au ukinzani kutoka kwa mashabiki wa Laliga hasa Madrid na LaLiga, kana kwamba mipango inaendelea bila upinzani wowote?

Ni wastaarabu sana hawa jamaa au kuna nini nyuma?
 
Hii plan Imekuwa na muitikio hasi sana kutoka kwa mashabiki wa soka nchini uingereza, ni kwa nini hatujasikia vurugu au ukinzani kutoka kwa mashabiki wa la liga specifically madrid na la liga kana kwamba mipango inaendelea bila upinzani wowote??
ni wastaarabu sana hawa jamaa au kuna nini behind??
Spain ndo alipo mwamba mze wa mipango Peres na ndio anae komalia hii michuano iwepo.
kuna uwezekano mkubwa wababe wa super cup zikawa timu za Spain.
huu ni mtazamo wangu tu.
 
Back
Top Bottom