fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Anasaidiwa kama fulaniWakuu salaam,
Kuuliza sio ujinga,ningependa kufahamu ni kwanini mgombea huyu hajishughulishi kutafuta wadhamini ilhali siku zinaelekea ukingoni?
Siku hizi kuna tekinolojia unaweza kuzipata hata kwa senderMbona jiwe, lipumba, rungwe na akina maganja nao bado?
🤣🤣🤣🤣Siku hizi kuna tekinolojia unaweza kuzipata hata kwa sender
Ungejuwa kwa nini Mwenge haukukimbizwa mwaka huu tangu uhuru hata usingeuliza mkuu kila jambo na nyakati zake
Magufuli naye mbona simsikiiWakuu salaam,
Kuuliza sio ujinga,ningependa kufahamu ni kwanini mgombea huyu hajishughulishi kutafuta wadhamini ilhali siku zinaelekea ukingoni?
Still he has time to do that!Wakuu salaam,