francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
Wadau poleni na majukumu, kama kichwa kinavojieleza apo juu ni kwann ndoa za miaka ya sasa watu wanafunga ndoa kwa mbwembe afu zinawah kuvunjika ,unakuta mazawaid kibao afu mwisho wa sik miez sita mingi kila mtu ana hamsin zake ukitofautisha na miaka ya nyuma wazaz wetu walibebana tu wakaelewana hakuna ndoa wala nini lakin mpak saiv wanaishi pamoja tatizo ni nini haswa?,,,