Ni kwanini ndoa za miaka ya sasa zinambwembe nyingi alafu zinawah kuvunjika.

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
516
Wadau poleni na majukumu, kama kichwa kinavojieleza apo juu ni kwann ndoa za miaka ya sasa watu wanafunga ndoa kwa mbwembe afu zinawah kuvunjika ,unakuta mazawaid kibao afu mwisho wa sik miez sita mingi kila mtu ana hamsin zake ukitofautisha na miaka ya nyuma wazaz wetu walibebana tu wakaelewana hakuna ndoa wala nini lakin mpak saiv wanaishi pamoja tatizo ni nini haswa?,,,
 
zinaitwa "emotional marriage" Mambo ya ajabu sana simu hizi ndyo chanzo kuna maisha nje ya mitandao.
wakiniuliza mwanetu unaowa lini nawajibu wangu bado hajazaliwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…