Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa madaktari ila bado atarudi na kuanza kuhudumia watu wengine bila kuosha mikono wala kuvaa gloves.
Yaani ni mpaka umkumbushe ndiyo afanye hivyo. Nilishaenda hospitali moja nikakuta hawana hata Disposable Tourniquet.
Naamini hapa JF kuna wahudumu wa afya wengi tu. Ningependa kujua ni kwanini Phlebotomists wanafanya hivyo. Shida ni vifaa au ni kutokuwa makini wakati wa kazi?