Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Tanzania yetu kuja kujitegemea itachukua karne nyingi sana kwa sababu mamlaka za kiserikali za kusimamia makusanya ya kodi zimefeli na hazina ubunifu.
Kwa mfano hapa Dar wanaosumbuliwa kulipa kodi ni wafanyabiashara wenye vifrem na maduka ili hali kuna viwanda vingi bubu visivyo na majina vya wachina vimefunguliwa ktk ya makazi watu na havilipi Kodi.
Viwanda hivi vinazalisha malighafi mbalimbali km taa ZA majumbani, mabati, nondo, funiture, mapambo na vipuri mbalimbali lakini ajabu Hakuna watu wa TRA au MANISPA wanaopita kwenda kuchukua kodi wala ushuru.
Serikali wanawaza kukopa tu na kula Kwa UREFU wa kamba ili hali wazawa wanateseka na kodi kandamizi huku wachina wakiishi km peponi bila kulipa kodi.
Pia kuna machine za kichina za Kamari karibu kila mtaa na hakuna Kodi inayochukuliwa Bali walalahoi wananyonywa tu na machina