Uchaguzi 2020 Ni kwanini TAKUKURU haijamchukulia hatua Dkt. Mayrose Majige wa CHADEMA kwa kutangaza kugombea Urais kabla ya muda?

Tulia Ackson anagawa rushwa hadharani na PCCB wanamchekea
Bujibuji
Hiyo TAKUKURU inafanya kazi zake kwa "maelekezo maalum" ya Jiwe........

Hivi inawezekanaje mgombea wa CCM anayetangaza nia ya kugombea achukuliwe hatua na TAKUKURU, wakati huo huo mgombea wa Chadema anayefanya kosa hilo hilo moja, ashangiliwe na wanaccm na ionekane amefanya sawa??
 
Huyu mama atimuliwe CHADEMA! Maanini Membe wa CHADEMA!
 
Hahaha
Yaani una Imani na hao Jamaa ?
Hao waliopelekewa ushahidi Mpaka wa Video Mnyeti akitoa rushwa wakaishia kumtishia Mtoa habari Nassari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha
Yaani una Imani na hao Jamaa ?
Hao waliopelekewa ushahidi Mpaka wa Video Mnyeti akitoa rushwa wakaishia kumtishia Mtoa habari Nassari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bramo ndiyo maana nikasema kuwa hao jamaa wa TAKUKURU wanapokea maagizo maalum toka kwa Jiwe...........

Kuwa ni nani wa kumkamata na kumuhoji na ni nani ambaye yuko "above the law" ambaye hatakiwi kuhojiwa na TAKUKURU!
 
Kwani aligawa pesa za rushwa? Ratiba ya kampeni ndio ratiba ya kutangaza nia? Mbona Ccm Zanzibar wametoa ratiba ya kutangaza nia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…