Ni kwanini TCRA haisimamii na ku-regulate bei za huduma za mitandao?

Ni kwanini TCRA haisimamii na ku-regulate bei za huduma za mitandao?

Joseph_Mungure

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
110
Reaction score
167
Habari ya asubuhi wana JF.

Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo.

Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku kwenye huduma za mawasiliano.
 
Rost Tamu kumbuka ndio anamiliki mtandao pendwa na Rost Tamu ni mwanaccm nae anawanyonya Wanyonge ili aweze kutengeneza vyema Rost Tamu. Huyo Nape hawezi hata kunyanyua mdomo wake.
 
Back
Top Bottom