Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ulimbukeni wa mtu mweusi hasa Mtanzania.Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k
Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za mapaa ya msukuma na barabara za mitaa
Wazawa kwanza wanapaswa kuacha uabbaishajiIli jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k
Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za mapaa ya msukuma na barabara za mitaa
moja ni uzoefu kazini, pili ni mtaji unaohitajika kwa ajili ya kufanyia kazi, mfano kupata mkopo benki ili aweze kufanya hiyo kazi (fedha kwa ajili ya kukodi zile mashine nzito za kufanyia kazi). Wachina wao tayari kampuni zimeshajijenga kwa hivyo wakipata tenda wanahamisha mashine kutoka saiti moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana.Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k
Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za mapaa ya msukuma na barabara za mitaa
naunga mkono ili. mfano wachimbaji wa madini yani kapata milioni 900 za dhahabu baada ya kuboresha mgodi anaenda kitambaa cheupe kumaliza milioni 12 kwenye mishumaa na bangoWazawa walio wengi kwanza hawajiamini.
Pili wakipewa fedha za mradi wanakimbilia kwanza kununua magari ya kifahari badala ya kununua nyenzo za mradi.
3.Miradi mingine upewa kama sehemu ya kuficha maovu ya wakubwa,miradi hewa.Inawaharibia CV.
4.Matumizi mabaya ya fedha yanasababisha poor finishing.
5.Poor estimate ya gharama ya mradi,mara nyingi ndio wanao tender kwa bei ya chini ambayo haiwezi kukidhi viwango.
Bro umesahau kuwa watanzania wengi wanatumia asilimia 1 ya akili zao?.Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k
Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za mapaa ya msukuma na barabara za mitaa
Wakati mwingine wakandarasi wazawa wanakosa ushirikiano wa dhati.Wakandarasi wazawa bado hawana vifaa vya ujenzi wanaokoteza vikukuu tu. Kulipa wafanya kazi na vibarua ni shughuli pevu hela hawana. Ujenzi hawajui wanakandika hovyohovyo tu. Ngoja wajifunze kwa wachina, wajapan na waturuki huenda wakaelewa