sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo.
Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo.
Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,,
Hii ni kwanini.
Mafile huwa nayapima kabisa ni MB 10, mfano naweza kushusha kutoka >> hapa <<