sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Unapimaje hiyo "Data usage" yako nadhani kuna makosa hapo, pia hiyo link haifanyi kazi.Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo.
Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo.
Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,,
Hii ni kwanini.
Mafile huwa nayapima kabisa ni MB 10, mfano naweza kushusha kutoka >> hapa <<
Mimi ninadownload movies kupitia Google Chrome.Nadhani ni browser unayotumia,mfano ukidownload file la video lenye mb 10 lets say,ukidownload kwa Browser kama Google chrome linabaki vilevile mb 10,lakini ukidownload file hilohili kupitia operamini linaweza likasoma mb 11na kuendelea nakuwekea mifano ya picha uone..