ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna kitu tu kitakuonyesha kuwa huyu si mweupe. Unaweza shangaa hata nanii ikaweka vidoti doti vyeusi.Sugu inatokana na tatizo la genetics, aina ya kipodozi, ugumu wa ngozi.
Mkorogo wa bei kubwa sugu utaisikia kwa jirani,
Mwingine mkorogo wa 3k anang'aa mwili mzima hadi roho No sugu rangi ya mwarabu!
Inategemea mtu na mtu, mwingine hajichubui lkn ana sugu!
huenda inaunguza mikononi wakat wa kukoroga mgorogo 🐒Nimekaa na dada mmoja mrembo safarini kwenye seat ya bus amejichubua, ila kama ilivyo ada vidole vya miguuni na mikononi bado vyeusi.
Sasa shida huwa ni nini eneo hilo la ngozi kuendelea kuwa peusi?
Website au Domain?Ni zawadi kwetu wanaume nature inatupa. Yaani unaambiwa unaibiwa, website sahihi ya huyu mtu ni nyeusi.co.tz siyo mwarabu.
Domain ndo jina? Ok. Hiyo hiyo.Website au Domain?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had bas wallah.Sugu inatokana na tatizo la genetics, aina ya kipodozi, ugumu wa ngozi.
Mkorogo wa bei kubwa sugu utaisikia kwa jirani, Mwingine mkorogo wa 3k anang'aa mwili mzima hadi roho No sugu rangi ya mwarabu!
Inategemea mtu na mtu, mwingine hajichubui lkn ana sugu!
Nakos 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Ni ushahidi kuwa ni msaliti adi wa mwili wako mwenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani vinakataa kabisa ili uaibike..
Kule Tukuyu tunaita "mafufu"Vidole vinakuaga kama ndizi za kuchoma