Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Pole sana kwa Kuathirika na UKIMWI Mkuu.UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi
Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka
Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
Alipata akiwa kwako au alikuja naoMarehemu binti yangu wa kazi msamehe huyu kijana.
Hajui aongeayo, hajakusudia kukudhihaki ulipataje ukimwi wakati ulikuwa fukara!
Mungu akusamehe dhambi zako. Ulale pema peponi.
Amen.
Alikuja nao.Alipata akiwa kwako au alikuja nao
Mawazo yako sasa Genta kama GentaPole sana kwa Kuathirika na UKIMWI Mkuu.
Siyo kila kitu mnawaza chai tu,fanya tafiti
Nazan hii ndo sababu kubwa,lakin kwann wakiupata mambo yao yanazid kuwa vzur zaidUkiwa na vipesa mshenzi unawashwa washwa Kila mwanamke unataka ulale nae.
Exactly,lakin kwann wanapowaka ndo na mambo yao kiuchumi yanazid kwenda poaPesa inavishawishi mkuu , ukiwa kijana na pesa warembo wanakuzungukia kama nzi , kama unavyoona wanaume na Tamaa ya ngono ni Pete na vidole , kuwaka ni kugusa tuu,
Jaribu mkuu,utashangaa kila kitu kinanyookaKwaiyo unataka kusema Nini haswa kwamba na sisi tuwe nao sio Ili nyota iwakee et eeh