Watu hata ndege hamjawahi kupanda ila ujuaji Sasa wasomi wa gugosech na wikpedia mnashida Sana.Anza kujishangaa kwanza..
Umaskini utakuu broo.. maisha yakushindwe wewe mwenyewe hasira ulete JF 😀😀😀Watu hata ndege hamjawahi kupanda ila ujuaji Sasa wasomi wa gugosech na wikpedia mnashida Sana.
Mrangi mpuuzi sana yani kuwa na rafiki wa Makumbusho na alivyopata nafasi ya kuingia huko ndani amejiona yuko tofouti na watanzania wengine, leo nimeamini jamaa mshamba sana.Nimecheka sana 😁😁😁😁😂
Ilhali baani anakaa nao anakunywa nao bia sema utofauti ni kwamba baani hawafahamu.Mrangi mpuuzi sana yani kuwa na rafiki wa makumbusho na alivyopata nafasi ya kuingia huko ndani amejiona yuko tofouti na watanzania wengine, leo nimeamini jamaa mshamba sana.
Hao konokono wenyewe wagongeaji wa bia wazuri tu 😂Ilhali baani anakaa nao anakunywa nao bia sema utofauti ni kwamba baani hawafahamu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbona kama unamtaja mshikaji wangu Gentamycin ?
Hospital hii inamilikiwa na TISS so wengi wao wanaohudumiwa pale ni Usalama au Viongozi waandamizi wa Serikali ambao wanaona Hospital nyingne sio salama kwaoHivi hiyo hospital ni kwa ajili ya kina nani??
Hii Hospitali yako ya Lugaro kama ulivyoandika hapa Ndugu iko wapi?Wanaweza kutibu raia pia, kama Dar group na Lugaro wanavyofanya kwa sasa....labda kama hawataki nyomi la wagonjwa.
Mbona bado kuna Viongozi wengi tu wanasafirishwa kwenda huko Nje na huwa wanaonekana mno tu pale JNIA kupitia kule VIP Lounge au hujui?Andika mambo yenye mantiki, siyo haya ya kiumbea. Unamwambia nani sasa unaposema "mmeamua kutuficha watanzania" kwani wao siyo watanzania? na je wakikuamabia kuwa wamelazwa hapo wewe itakusaidia nini? Je unataka wasitibiwe pale au unataka iweje? unataka waendelee kuwa wanakwenda kutibiwa nje ya nchi kama zamani?
Kuna mahala katika Uzi wangu umeona popote pale katajwa kuwa ni Kiongozi? Kama nimeandika hivyo tafadhali naomba uweke hapa Ushahidi.Rose naye alikuwa kiongozi?
Ngoja Jumuia ya wana TISS walioko hapa JamiiForums 24/7 watakujibu Ndugu kwani hata Mimi ni Kajambanani kama Wewe nikiwa huku Pemba.Kajamba nani naruhusiwa kwenda kutibiwa hapo???
Zamani sana miaka ya themanini niliwahi kuwa reporter wa Anti-Corruption Squad (kabla ya Takukuru). Ile hoteli ya Palm Beach ilikuwa ni yao, na ingawa kila mtu alikuwa anaruhusiwa kuingia ndani ya hoteli ile, kuna sehemu ndani ya baa hiyo akina kapuku kama mimi na wewe tulikuwa haruhusiwi kufika na hakuna aliyelalamika. Nchi hii imegeuka kuwa nchi ya walalamikaji sana siku hizi.Hospital hii inamilikiwa na TISS so wengi wao wanaohudumiwa pale ni Usalama au Viongozi waandamizi wa Serikali ambao wanaona Hospital nyingne sio salama kwao
Mkuu Kama ndo ivyo acha watibiane wao, sie tupambane zenye adhi yetu ,Kupata ajira hata ya usafi tu hapo ni lazima ufanyiwe vettig na TISS.
Sisi kwetu Wananyamala, Wailes au AmanaMkuu Kama ndo ivyo acha watibiane wao, sie tupambane zenye adhi yetu ,
Nafikili mtoa mada alimanisha wananchi kupewa tahalifa tu kwamba kiongonzi flani anaumwa kalazwa,hospitali flani basi but aina ya ugonjwa sio lazima kuitoa public bila consert ya mgonjwa, na kweli ugonjwa bado unabaki siri ya mgonjwa na mtoaji huduma wakeViongozi wana wajibu wa kuwapa wananchi taarifa kuhusu afya zao.
Hawa ni watu waliotoa maisha yao kutumikia wananchi, na hata matibabu yao yanatokana na kodi za wananchi, hivyo, kuuliza wananchi wanataka kujua ugonjwa wa muhusika ili iweje ni kama kumuuliza mtu "unataka kujua ugonjwa wa housegirl wako ili iweje?"
Akikwambia anataka kujua ugonjwa wa muhusika ili ajue kama muhusika anaweza kuendelea na kazi ya kuongoza au hawezi watu waanze kutafuta kiongozi mwingine ili mgonjwa asisumbuliwe na majukumu ya uongozi utasemaje?
Kumbe wewe popoma na kujiita charismatic na game changer huna lolote unalojua ni maneno matupu tu?Kawadanganye Wapumbavu katika hili Ndugu na ni vyema kama pengine unakuwa ama hujui au huna uhakika na Jambo lolote basi ukanyamaza.
Asante, umetusaidia. Hata hiyo taarifa ishapigwa panga!Asante mkuu umenipa elimu nilikuwa silifahamu hili kabisa,
Unaenda tu, fata tiba usiende macho juu juu. Watakupokea vile ulivyoenda tu mkuu.Kweli mkuu? Unaweza tuu kujiendea kama Benjamin Mkapa Hospital Dodoma??
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app