Weka majina ya hao marafiki zako wa TRA ambao wanaishi kwa wasi wasi hapa ili na sisi tuwajue. Sababu zipo nyingi.Kwa baadhi niliokutana nao ( ambao nakiri hapa ) wazi wazi kuwa ni Marafiki zangu wazuri na wakubwa tu ila tokea Awamu hii ya Tano iingie Madarakani wengi Wao wamekuwa ni Waoga Waoga Kimuonekano na hata Hawajiamini tena huku hata mkiwa mmekaa nao tu mahala muda mwingi wanakuwa ni Watu wa Kuangaza angaza huku na kule halafu hawamuamini Mtu yoyote.
Je, ni Mimi tu Mzukulu pekee ndiyo nimeliona hili kwa hawa Wafanyakazi wa TRA au labda nanyi Wandugu mmeshakumbana nalo huko Makwenu?
hahahahahahaaaaaa . . . . ngoja nipite kwanza nitarudi baadayeHeshima imerudi, wanaishi kwa hofu hakuna tena zile tambo... ‘unanijua mi nani?’.