Mwenye gari akitoa lifti hamshangai, lakini mwenye pombe akitoa pombe makelele..Kwa sababu wanathamini pombe
Wanaamini shida zako za chakula you can do something else kupata....
Mara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia chakula hawatoi. Wapo radhi kukunywesha pombe mpaka asubuhi kuliko kukununulia chakula hata kama una njaa ya siku 3. Kwa nini walevi wanafanya hivi. Nawasilisha.
Aaaagh!Usimwekee maneno mdomoni bana wanywaji hawafanyi hivo walevi ndo huwa na hizo tabia kwa hiyo yupo sahihi.Vipi aisee!Sio walevi ni wanywaji.
Bar sio hoteliniMara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia chakula hawatoi. Wapo radhi kukunywesha pombe mpaka asubuhi kuliko kukununulia chakula hata kama una njaa ya siku 3.
Kwanini walevi wanafanya hivi?
Nawasilisha.
Huku umeacha familia nyumbani gains kitu?Wewe Utakuwa si mlevi bali unasikia tu...
Wenzio tukienda tunakulaga Nyama Choma kwanza halafu vyombo vinatandazwa juu ya meza...