Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

miss pablo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
5,411
Reaction score
11,025
Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:

1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.

2: Munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaani munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. RIP mwalimu wetu wa football Mr. Gastho Moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.

3: Wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tu-cheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza Real Madrid ama Borrussia Dortmund na Taifa Stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.

Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku Manchester United ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mimi sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.

Salam zangu kwa mashabiki wote wa Manchester United na Dar Young Africans.

Asanteni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale uko na kabinti chako kikang'ang'ana kwenda kucheki game balaa linaanza pale mshamaliza kushangalia goli yeye anakurupuka kushangilia rewind kwa kuhisi ni goli la pili. Kidume utatamani umkimbie au umzibe mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha hahahaha aisee. Kwann sasa usimsaidie aelewe? Aisee munakua selfish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mashabiki wa Mashetani wekundu naona sasa Mzungu Mmasai amewarudishia furaha yenu.

Tatizo lenu hamkawii kuwasifia kimahaba wachezaji mbele yetu, mara utasikia "Jamani huyu kaka (Ronaldo) ana mwili mtamu" wakati wewe una kifriji cha viporo cha haja.
Endeleeni tu na Netball kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha

Kwahiyo mimi nikimpenda ronaldo na kumsifia mbele yako utaumiaaaa... hahahah aisee. Mbona huu wivu umepitiliza. Sasa si mzuri. And yes, tumerudi. Ligi imeanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simply tu kwamba hatupendi mademu kwenye vibanda umiza vyetu,hivyo ni marufuku nyinyi kupenda mpira.
But yote kwa yote mkiujua mpira mtatukwamisha kwenye anga zetu za kuangalia mipira usiku. Sijui kama umenielewa sawa sawa???
 
Simply tu kwamba hatupendi mademu kwenye vibanda umiza vyetu,hivyo ni marufuku nyinyi kupenda mpira.
But yote kwa yote mkiujua mpira mtatukwamisha kwenye anga zetu za kuangalia mipira usiku. Sijui kama umenielewa sawa sawa???
Hahahaja na kwa habari tuu, ratiba zote tunazijua. Sijui munatokea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtaitafuta kwa tochi sana..ngoja siku mkutane na vijana wamekaza msuli wanataka point 3 ndio mtaelewa..hizo mech tatu mlizoshinda bado sio kipimo cha kuwafanya muanze kujitamba
Hapa tunaiongelea ile spirit ya united. Hata game na team ndogo kwetu ilikua changamoto. Ilikia hakuna uhakika wa ushindi. Kwangu ni hatua. Naamini tutapenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…