Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Swali limeulizwa umepita mwaka sasa ndio unajibu leo.

Anyway utopolo kwa warembo nawakubali, mko vizuri.
Wana warembo kweli hadi Manara akabadili timu baada ya kuoa anasingizia anafanyiwa hujuma kumbe kazidiwa na mwanamke
 
MAMA J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…