Nature huwa haidanganyi. Uhalisia ni kwamba ndoa halali na inayokidhi mahitaji ya both parties yaani Me na Ke ni ndoa ya mwanaume m'moja na wake wengi kulingana na uhitaji wa mwanaume kama ni wawili, watatu, sita, nane au kumi na mbili.
Concept ya mke m'moja ni matokeo ya wanawake kuingizwa katika Men meetings na kuanza kujadili mahitaji ya mwanaume kwenye Ndoa jambo ambalo zamani wazee wetu walifanya wao kama wao yaani bila wanawake kwenye kikao.
Hakuna mwanaume anatulia na mke m'moja sababu atapata matatizo ya kiakili na kiafya. Na hakuna mwanamke timamu ambaye anafurahia mwanaume kuwa na yeye pekee yake sababu anajua hataweza mudu nguvu ya mwanaume pekee yake.
Kwenye haya mahusiano ya "one woman man" ndipo utasikia migogoro ya kunyimwa unyumba, mke kuchoka kufanya mapenzi anataka kupumzika, ghubu, kisirani, kubishana na mume, na hata kutoka nje.
Hii concept ya mke m'moja si concept ya kiafrika na zaidi sio concept ya kiasili.
Kama vile wazungu walivyotuletea democracy feki, 50/50, uzazi wa mpango, chanjo, na sasa mambo ya upinde naamini hata hili la mke m'moja ni la kwao halijawahi kuwa sehemu ya asili yetu kama waafrika.
Kwa wastani wanaume wa kizungu hawana joto wala hawana uwezo wa kufanya mapenzi muda mrefu kwasababu za kimaumbile, lishe na culture zao za mahusiano ila wanaume wa kiafrika kwasababu ya lishe, uimara wa mifumo ya uzazi, joto la mwilini na nguvu wanaweza kupelekeana moto mara dufu na kwa muda mrefu, ndio maana wanawake wanaomba pooh.
Kwann ukifuatilia vizazi vitatu au vinne nyumba ya uzao wa babu yako utakuta ndoa ni za wake wengi yaani mababu walikuwa na wake zaidi ya 6 leo iwe ni shida?
Nadhani tuna haja ya kurejea asili yetu ndio maana miaka hii wanawake wanatanga tanga mitaani ndoa hawana halafu utasikia watu na maneno ya kukosa akili eti "oooh ukahaba ulikuwapo tokea enzi na enzi" wewe nani kakwambia hayo maneno wewe ukahaba ni matokeo ya wanawake kukosa ndoa.
Kuna wanawake wanataka sana ndoa za kushare na huwa hawapendi kuwa kwenye ndoa pekee yao shida inakuja na jamii kuwafosi kuolewa ndoa ya mume m'moja mwisho wa siku wanaona kero wanakimbia ila tukipiga kura hapa hautaamini idadi ya wanawake wanaotaka olewa na wenzao hata sita kwa mume m'moja mradi awe anawapatia matunzo na ulinzi kama mume wao.