Ni kwanini wasiokuwa na Nauli au wamepanda kwa Msaada katika DalaDala ndiyo huwa Wazungumzaji wakubwa ndani ya humo?

Ni kwanini wasiokuwa na Nauli au wamepanda kwa Msaada katika DalaDala ndiyo huwa Wazungumzaji wakubwa ndani ya humo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu kisha Wewe changia zako tu.

Karibuni.
 
Uzi unakaribiana na huu nilishaona ulitumwa na mwanajf Gentamycine akielezea mbinu anazotumia ili asilipe nauli kwenye daladala
 
[emoji81] Ninachojua wanaopiga domo zaidi katika madaladala ni watu kutoka uswahilini......
 
Daladala za kutoka wapi kwenda wapi

Unaandika kwa ujumla wake as if kila mtu anakaa mahali kuna daladala
 
Kam juz kuna jmaaa mmoja alkua anaongea sana kwenye daladala utafkir ni daladala yake alaf mwsho wa sku nkaona analipiwa nauli hahahhaha na nlivyokuja kuona huu uzi asilimia 100 nmekubaliana nao
 
Back
Top Bottom