GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Sep 25, 2019 #1 Rejea Kichwa cha Habari hapo juu kisha Wewe changia zako tu. Karibuni.
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Sep 25, 2019 #2 Siku zote mpenda vya bure hua na tabia ya kujikomba,kujipendekeza,kujichekeshachekesha hata visivyochekesha,uongeaji mwingi sababu ya kujishtukia
Siku zote mpenda vya bure hua na tabia ya kujikomba,kujipendekeza,kujichekeshachekesha hata visivyochekesha,uongeaji mwingi sababu ya kujishtukia
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Sep 25, 2019 #3 Uzi unakaribiana na huu nilishaona ulitumwa na mwanajf Gentamycine akielezea mbinu anazotumia ili asilipe nauli kwenye daladala
Uzi unakaribiana na huu nilishaona ulitumwa na mwanajf Gentamycine akielezea mbinu anazotumia ili asilipe nauli kwenye daladala
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 994 Sep 25, 2019 #4 [emoji81] Ninachojua wanaopiga domo zaidi katika madaladala ni watu kutoka uswahilini......
wingatereza JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,334 Reaction score 1,722 Sep 25, 2019 #5 Daladala za kutoka wapi kwenda wapi Unaandika kwa ujumla wake as if kila mtu anakaa mahali kuna daladala
Daladala za kutoka wapi kwenda wapi Unaandika kwa ujumla wake as if kila mtu anakaa mahali kuna daladala
Military Genius JF-Expert Member Joined Mar 3, 2019 Posts 761 Reaction score 1,464 Oct 3, 2019 #6 Kam juz kuna jmaaa mmoja alkua anaongea sana kwenye daladala utafkir ni daladala yake alaf mwsho wa sku nkaona analipiwa nauli hahahhaha na nlivyokuja kuona huu uzi asilimia 100 nmekubaliana nao
Kam juz kuna jmaaa mmoja alkua anaongea sana kwenye daladala utafkir ni daladala yake alaf mwsho wa sku nkaona analipiwa nauli hahahhaha na nlivyokuja kuona huu uzi asilimia 100 nmekubaliana nao