Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kuna aina ya watu humu JF wana tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wafupi
Single mothers
Ndivyo walivyo...Kiukweli sijui tatizo nini ila kitu nilichogundua asilimia karibia zote watu wafupi hawapendi kuelekezwa, ni wabishi mnoo hata ukimkosoa sehemu flani kama anakosea anaona kama umemdhalau na hawapendi kukosolewa ,
Je tatizo ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yesu wanguAisee kuna huyu mmoja kuongea n yeye mademu anajiona yeye ndo anajua kila kitu yan mpk nikikaangalia nakaonea huruma ila unafuu n kwenye kuwazika hawasumbui maana pia kuchimba kaburi n fupi [emoji16][emoji16][emoji16] jokes
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nina mke mfupi, jamani hawa watu sio kabisa napata tabu sana kumuelewesha ni mbishi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app