comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JA
Kweli kaWataje
Lakini kuna
- Palamagamba Kabudi
- Kitila Mkumbo
- ?
- Reginald Mengi
UnasemaNimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA ππ
Kama umenisoma vema sijaafiki akisemachoKweli ka
Unasema
1. Mo- mohamed hajafanikiwa
2.reginad mengi- hakufanikiwa
3. Bakheresa-
4.salimu kikwete
5. Benjamin mkapa
6. Julius nyerere
Hawajafanikiwa ? Mafanikio gani unayosema
We umechanganyikiwa, fanya kazi kwa juhudi na maarifaNimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA ππ
Unamaanisha Palamagamba Kabudi ni mfano mzuriNimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA ππ