ni kwasababu gani korodani za mwanaume zinatofautiana ukubwa?

Kwa nionavyo mie!! Suala la korodani kuwa kubwa au ndogo si muhimu sana, chamsingi mtarimba unawezaaa!!!? na je!? kupizi ni kwa idadi na kiasi cha manii ni cha kutosha!!? kama hayo yooote yako sawa basi twende kazi!
 
Anayeongelewa hapa ni mtoto..sasa huko kupizi kunakujaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…