Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Kwa wanawake wasio nyonyesha matiti yao sio halali kwa baba?Sasa Kama Kuna walimu wanasahihisha mitihani ya secondari za Tanzania nzima (sijui wanakuwa laki ngapi) kwa miezi mitatu, ili kuhakikishia mtu anafaulu kwa kustahili...
TamisemiKwani Hizi ajira zipo Tamisemi ama Utumishi
Umemaanisha nini mkuu[emoji2][emoji2]Kwa wanawake wasio nyonyesha matiti yao sio halali kwa baba?
Mkuu, nimesoma comments zako, uko positive sana sana, ahsante kwa kututia moyo tusio na cha connections ila tunaamini katika ufanisi na kuwa vizuri, yaani competent. Kwa imani yangu, ubarikiwe.Ni vema ukaandika barua kama utaratibu unataka hivyo. Vinginevyo utajutia kwa kupuuza. Kheri kutimiza wajibu kuliko kupuuza
Nasimama na hii commentNi vema ukaandika barua kama utaratibu unataka hivyo. Vinginevyo utajutia kwa kupuuza. Kheri kutimiza wajibu kuliko kupuuza
Matiti yapo kwa ajili ya Mtoto tu, Baba hayamhusu Ni matumizi mabovu hayajàumbwa kwa ajili ya Baba.Kwa wanawake wasio nyonyesha matiti yao sio halali kwa baba?
Kwanza bila kuweka application latter, application haiwez kamilikaNi vema ukaandika barua kama utaratibu unataka hivyo. Vinginevyo utajutia kwa kupuuza. Kheri kutimiza wajibu kuliko kupuuza
🤣🤣🤣Sasa Kama Kuna walimu wanasahihisha mitihani ya secondari za Tanzania nzima (sijui wanakuwa laki ngapi) kwa miezi mitatu, ili kuhakikishia mtu anafaulu kwa kustahili.
Iweje Tamisemi washindwe kukodi walimu wawawsaidie kusoma barua yaani kusoma siyo kusahihisha tena barua laki moja ili kuhakikisha mtu anapata kazi kwa kustahili, siyo kufaulu mtihani.
Ukitaka ujue wanasoma tulia mpaka utakapoona umetoswa kwenye list. Subiri ndiyo utajua matiti ya mwanamke ameumbiwa mtoto kunyonya au kumfurahisha baba.
Kwanza bila kuweka application latter, application haiwez kamilika