Ni kweli asali na limao vinafanya iwe 'ndogo'?

Ni kweli asali na limao vinafanya iwe 'ndogo'?

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Tusaidiane kumjibu huyu..
Mimi nina swali moja tu naomba wewe na wadau wengine muweze kunisaidia katika hili. Kuna mtu aliniambia kuwa asali na limao vinaweza kuufanya Uke uwe taiti. Je ni kweli? Na kama ni kweli, hivyo vitu vinatumikaje katika zoezi zima la kufanya Uke uwe taiti?
Asante na nakutakia kazi njema.
 
Asali na limao kwa afyaa inafaa kwa kubinya inakataa
Asali kwa kifua hakika inatibu
Limao kwa kachumbari hapo ndio mwake
Hizo kazi nyingine ni masingizio tu
 
I know nothing about it let us wait for some experts who are going to share their experience with us.
 
wadada wamegoma kutoa mauzoefu yao hapa.
mi najua limao kwenye konyagi mwake sana
Asali kwenye mkate hata kuila tu ni tamu sana.

Sasa wewe unataka visitumike hivyo, viwekwe kwenye mbunye?
labda kama unataka vikishawekwa uvile vikiwa humo.!
 
sasa iwe taiti ili iweje? anyway i dont have no clue on this one, lets wait for experts

Halafu Asali + limau aint it flammable down there?...
 
mwenzenu alitaka itaiti akatumia za mchina mbunye imekuwa ndogo balaa, kama na wewe unataka jaribu hizo
 
vitu vingine ni hazard ..asali maybe ..limao napata mashaka ...
 
limao huwa nasikia linafanya kazi...asali labda uile yenyewe
 
limao huwa nasikia linafanya kazi...asali labda uile yenyewe
sasa haya ndo ma-experience yenyewe sasa..........lakini hapo kwenye kula asali halafu ifanye mbunye iwe ndogo si itakuwa balaaa.........sasa akila kidume itakuwaje?
 
Ndio maana tunazaa mataira ubongo unagandishwa na ndimu
 
kuhusu limao nimesikia mara kadhaa kwamba husaidia kupunguza ukubwa wa kipenyo japo ni kwa muda tu! ni danganya toto fulani. Kuhusu asali mmmmhhhh, kwangu mpya. Lakini kwenye maonyesho ya 88 ya mwaka juzi Dom niliona sabuni ambazo kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba pamoja na kazi nyinginde pia, zinasaidia kupunguza ukubwa wa kipenyo. Sasa hapo kuna mchanganyiko, wakati wengine(ke) wana haha kuzibana, wengine (me) wana haha kuongeza ukubwa! Naombea wawili hawa wasijekutana.
 
kama bint alinza mapenz chini ya miaka 15
akifikisha miaka 23 uke huwa mkubwa ajabu, yaani unashangaa sana

huyu hata akiweka pilipili hairud,
 
Unaweza kujaribu pilipili mbuzi au kichaa lakini changanya na shubiri ila usipige kelele🙄
 
mie sijawahi kusikia hilo lkn hivi ndimu ukiikmulia kule patakalika kweli!mmh
 
Back
Top Bottom