analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 731
- 614
Nimemsikia Raisi wetu akiwaeleza wananchi ktk moja ya kampeni zake leo kuwa asilimia 51 ya wahitimu wa kidato cha nne shule za kata wamepata nafasi kwenda kidato cha tano. Mimi binafsi nina mashaka sana na hii kauli nikizingatia hali halisi ya hizi shule za kata. Sijui mnasemaje wana JF, Isijeikawa ni muendelezo wa mlolongo wa porojo katika kampeni.