Kwa hiyo hata yule Mganga wenu wa kuingia na Paka uwanjani hatakuwepo kwenye hiyo mechi yenu ya marudio? Maana huwa hamtabiriki nyinyi!!😟Hiyo ya kadi ni kweli.
Ila kwakuwa Simba hawajawafanyiwa mizengwe kama walivyofanyiwa Namungo kule Angola - Ni jambo zuri.
Nasi tutawapokea bila mizengwe.
Wakileta mizengwe nasi 'kamati ya roho mbaya' tutafanya mara mbili yao.
Yule Paka tulimpeleka Tanga kwa wadogo zetu, ameshamaliza kazi yake jana. Leo yupo na Simba QueensKwa hiyo hata yule Mganga wenu wa kuingia na Paka uwanjani hatakuwepo kwenye hiyo mechi yenu ya marudio? Maana huwa hamtabiriki nyinyi!!😟
Jibu murua kabisaaa......akirudi tena nitag mkuuYule Paka tulimpeleka Tanga kwa wadogo zetu, ameshamaliza kazi yake jana. Leo yupo na Simba Queens
Mntabilika nyie inibiteniKwa hiyo hata yule Mganga wenu wa kuingia na Paka uwanjani hatakuwepo kwenye hiyo mechi yenu ya marudio? Maana huwa hamtabiriki nyinyi!!😟
Tusubiri tuone dakika 90 zinaongea hapo kesho!!Nimepita kwenye account yao nikakutana na hii habari, nikashtuka kidogo, ni zaidi ya nusu ya kikos hiki, inasadika kuna waliougua covid 19, wengine injuries na wengine ni kadi (wapo watatu)
Lakini swali langu ni Je, hii idadi ya hawa watu ni sahihi?
Naishauri Simba sc isije bweteka na hili, ijiandae full mziki ikiwa ni kweli tuwaue kabisa ikiwa ni fx tuwe na uhakika wa point yetu moja.
au tatuView attachment 1717911
Nilimsikia manara anasema hawajafanyiwa mizengwe na vipimo vya covid wote wametoka salamaHiyo ya kadi ni kweli.
Ila kwakuwa Simba hawajawafanyiwa mizengwe kama walivyofanyiwa Namungo kule Angola - Ni jambo zuri.
Nasi tutawapokea bila mizengwe.
Wakileta mizengwe nasi 'kamati ya roho mbaya' tutafanya mara mbili yao.
Mataga Kama wewe na Simba wapi na wapi.Kwa Simba hii kunguni yeyote yule akatizi.