NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Mar 6, 2021 #21 Superbug said: Mataga Kama wewe na Simba wapi na wapi. Click to expand... Mwenyekiti wa Ufipa ni Yanga damu,hivi sasa timu yake inavyoboronga anaumia maumivu makali sana.
Superbug said: Mataga Kama wewe na Simba wapi na wapi. Click to expand... Mwenyekiti wa Ufipa ni Yanga damu,hivi sasa timu yake inavyoboronga anaumia maumivu makali sana.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 6, 2021 #22 makaveli10 said: Michezo wanayotuletea simba sc ndio muasisi.. Click to expand... walichofanyiwa Yanga mwaka jana hawatasahau. Mara paaap Kapombe huyu hapa,wakala 4
makaveli10 said: Michezo wanayotuletea simba sc ndio muasisi.. Click to expand... walichofanyiwa Yanga mwaka jana hawatasahau. Mara paaap Kapombe huyu hapa,wakala 4
Sosoma Jr JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 312 Reaction score 281 Mar 6, 2021 #23 OKW BOBAN SUNZU said: walichofanyiwa Yanga mwaka jana hawatasahau. Mara paaap Kapombe huyu hapa,wakala 4 Click to expand... Mmhh!!tusibirini dakika 90 zitaongea na sio kelele tu!!
OKW BOBAN SUNZU said: walichofanyiwa Yanga mwaka jana hawatasahau. Mara paaap Kapombe huyu hapa,wakala 4 Click to expand... Mmhh!!tusibirini dakika 90 zitaongea na sio kelele tu!!