twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
Jamani naomba mnieleweshe kuna rafiki yangu ameniadisia kuwa yeye anaposex huwa hatoi yale majimaji ambayo mwanamke anatakiwa kutoka wakati wa kufanya mapenzi kwahiyo yeye mpz wake huwa antumia mate kwa sana kumpaka ndio alainike na ndio waendelee kusex yaaan yupo mkavu sana,ni mara chache sana huwa inamtokea, je hilo ni tatizo la kiafya au ni tatizo la nn? nisaidieni kujibu ilinimuelekeze na yeye.