Ni kweli au nasikia

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
Jamani naomba mnieleweshe kuna rafiki yangu ameniadisia kuwa yeye anaposex huwa hatoi yale majimaji ambayo mwanamke anatakiwa kutoka wakati wa kufanya mapenzi kwahiyo yeye mpz wake huwa antumia mate kwa sana kumpaka ndio alainike na ndio waendelee kusex yaaan yupo mkavu sana,ni mara chache sana huwa inamtokea, je hilo ni tatizo la kiafya au ni tatizo la nn? nisaidieni kujibu ilinimuelekeze na yeye.
 
huyo rafiki yako anapata maandalizi ya kutosha kabla ya mechi??
 
vip muulize fore play yao huwa inakua ya muda gani????????????
 
mara nyingi hili huwatokea wanawake walio olewa, hasa anapokuwa na mazoa sana na mwenzi wake, cha ajabu ni kuwa anapotoka na mtu mwingine hali inakuwa tofauti kabisa.
 
Mwambie huyo Rafiki yako amwambie bwana wake kabla ya Tendo la mapenzi awe anamchezea chea mwilini sehemu muhimu za kike kwa mfano huyo bwana awe anamnyonya maziwa yake

huyo Mwanamke huyo bwana awe anamchezea sehemu ya uke wake haswa kwenye ( Clitoris) huyo bwana awe anamnyonya mdomo wake huyo mwanamke wake mpaka kutakapo kuwa laini huko chini ndio waanze hiyo mechi yao ya mpira hiyo itasaidia kwa mwanamke kutoka maji sehemu yake ya siri.
 
Hapohakuna ugonjwa wowote ule ishu hapo ni maandalizi yapi huwa wanayafanya kabla ya kupiga mechi na yeye huwa anakuwa kwenye hali gani (mud) kabla ya tendo.

Hiii ndiyo tabu ya kizazi cha leo hakuna vijana hawafundwi kbs na kufunzwa mambo muhim kama hayo.
Unajua cyo mila zote ni mbaya zingine ni nzuri na madhara ya kuzikataza baadhi ya mila ndiyo matokeo yake haya sasa kila kukicha ndoa zinavunjika kwa vijana kukosa kufunzwa.
Wew unafikiri huyo dada akikutana na mtaalam ampige shughuli ya ukweli unafikiri atataman kufanya mapenz kwel na mumewe??
 
:A S 465:Mwambie asiogope kabisa, siku zote mapenzi sio kuchomeka tu bali maandalizi yakuchomeka ni lazima, KUNA SABABU NYINGI AMBAZO MWANAMKE HATOI MAJI, KWANZA KABISA KAMA HAYUPO KTK MUD HATATOA, PILI WAKATI ANAFANYA MAWAZO YAWEPO HAPO ASIWAWAZIE WATOTO AU MAMBO MENGINE, TATU WATOMASANE KWA KIPINDI KIDOGO NA YEYE MWENYEWE AANGALIE KAMA UTE UMETOKA. AKIONA HAYA YOOTE HAYATOKEI BASI AKAMWONE DOCTOR.😛oa
 
Asante kwa ushauri wako anapofanya hawazi chochote,lakini kama ulivyosema inambidi hamuone doctor.
 
sawa kaka nmekuelewa nitafikisha ujumbe.
 
sawa nitamwambia..........mkubwa........
 
mara nyingi hili huwatokea wanawake walio olewa, hasa anapokuwa na mazoa sana na mwenzi wake, cha ajabu ni kuwa anapotoka na mtu mwingine hali inakuwa tofauti kabisa.
hhuyu rafiki yangu hajaolewa na anapokuwa na mahusiano ya kimapenzi hakai mda mrefu kwasababu hiyo,so inmkuta kila leo anabadilisha wanaume wengi.
 
Duh! Maskin wee,hyo dada kwl anakosa raha,anyway mwambie wkt wa mchakato awe anarelax mwili na fikra zake vwe hapo pia awajibike vya kutosha coz wengine wanapokata maunu ndo huzalisha hzo vagina flush pia mwambie apendelee kula mboga za majani hasa kabeji ataona kidimbwi kinavyokuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…