Ni kweli au sio kweli? Toa sababu za msingi

Ila mnatunyima wanaume wa hapa jf kwa nini wakati mnakubali kuwa ni muhimu kuwa na mafiga matatu ili msiumie kwenye mapenzi
🤣🤣🤣
Jf hata vocha ya buku 10 tu mnaleta ubahili kutuma ya nini kuongeza matatizo
 
Mwaka wa 5 huu na ninamshukuru Mungu bado ipo na biashara kidogo afadhali
 
🤣🤣🤣
Jf hata vocha ya buku 10 tu mnaleta ubahili kutuma ya nini kuongeza matatizo
Sasa jamani hapa sii inasemekana kuwa nyie ni ma superwoman, sasa superwoman anaombaje tena vocha, yeye sii anachukulia wanaume kama chombo cha starehe, ishu ni kuburudika tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…