Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 2,699 Reaction score 7,726 Jul 6, 2022 #22 Wanawake walivyo wengi hivi nibaki na mwanamke mmoja ni kuwanyima haki wanawake wengine kuinjoi penzi langu... Ukitaka kuish kwa stress duniani ng'ang'ana na mpenz mmoja 😅😂 utateseka na mapenz hadi mbwa watajua
Wanawake walivyo wengi hivi nibaki na mwanamke mmoja ni kuwanyima haki wanawake wengine kuinjoi penzi langu... Ukitaka kuish kwa stress duniani ng'ang'ana na mpenz mmoja 😅😂 utateseka na mapenz hadi mbwa watajua
Iblis Bin Shetan JF-Expert Member Joined Sep 24, 2018 Posts 1,824 Reaction score 2,445 Aug 12, 2022 #23 hapa aisee kuna ukweli kabisa fatilia hili utakuja kugundua
7seven JF-Expert Member Joined Mar 27, 2022 Posts 3,729 Reaction score 7,966 Aug 15, 2022 #24 mzabzab said: Ukweli mtupu ..nilikujankugundua kuwa na wanawake watatu inakufanya uenjoy sana maisha sema ndio vile sahau kujenga. Click to expand... Jenga kwanza halafu ndio uwamiliki.
mzabzab said: Ukweli mtupu ..nilikujankugundua kuwa na wanawake watatu inakufanya uenjoy sana maisha sema ndio vile sahau kujenga. Click to expand... Jenga kwanza halafu ndio uwamiliki.
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Aug 17, 2022 #25 Tumrudie MUNGU, hayo yamekuwa vyanzo vya umauti kwa wengi